Luke 13:20-21

20Isa akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mungu na nini? 21 aUnafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.”

Mlango Mwembamba

(Mathayo 7:13-14, 21-23)

Copyright information for SwhKC